Tunasafirisha na kuingiza malori bora na treli kutoka China na UK kuja Tanzania kwa usalama na uaminifu mkubwa.
ANZA KUAGIZA SASADavisa Worldwide Company Ltd ni kampuni ya kitanzania inayojishughulisha na uagizaji wa magari makubwa ya kazi kama Scania, Howo, na Shacman. Tunakusaidia kupata gari bora kutoka UK na China kwa bei nafuu na usalama wa hali ya juu mpaka gari linafika mikononi mwako.